Dkt. Gwajima awataka wananchi kuzingatia taratibu wakati wa kuchukua miili ya marehemu

Na Mwandishi wetu, Julai  06  2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wananchi kufuata mifumo na taratibu za kuchukua miili ya marehemu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na zingine zote nchini ili kuondokana na malalamiko kwamba hospitali imekuwa ikizuia kuichukua kwa ajili ya kwenda kuihifadhi. Kauli hiyo imetolewa na